• HABARI MPYA

  Saturday, June 10, 2023

  KIKAO CHA BODI YA WAKURUGENZI SIMBA SC LEO DAR


  KLABU ya Simba leo imefanya kikao cha Bodi ya Wakurugenzi kujadili mambo mbalimbali kuhusu maendeleo ya klabu kufuatia kumalizi msimu wa pili mfululizo bila kushinda taji lolote.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: KIKAO CHA BODI YA WAKURUGENZI SIMBA SC LEO DAR Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top