• HABARI MPYA

  Thursday, June 29, 2023

  TWIGA STARS YASONGA MBELE BILA JASHO KUFUZU OLIMPIKI 2024


  TIMU ya soka ya taifa ya wanawake Tanzania, “Twiga Stars” imefuzu kucheza Raundi ya Pili ya kufuzu Michezo ya Olimpiki 2024 Paris  baada ya Kongo kujiondoa.
  Sasa Twiga Stars iliyo chini ya kocha Bakari Nyundo Shime itacheza na Botswana katika Raundi ya Pili ya kuwania tiketi ya Paris 2024 mwezi Oktoba ikianzia nyumbani. 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: TWIGA STARS YASONGA MBELE BILA JASHO KUFUZU OLIMPIKI 2024 Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top