• HABARI MPYA

  Wednesday, June 28, 2023

  YANGA YATOZWA FAINI KWA MASHABIKI KUSHAMBULIA STEWARDS SOKOINE


  KLABU ya Yanga imetozwa faini ya Sh. Milioni 1 baada ya mashabiki wake kuwarushia chupa walinzi wa Uwanja wa Sokoine wakati wa mchezo wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara dhidi ya Mbeya City.  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: YANGA YATOZWA FAINI KWA MASHABIKI KUSHAMBULIA STEWARDS SOKOINE Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top