• HABARI MPYA

  Friday, June 23, 2023

  MAYELE YUPO MAPUMZIKONI ZANZÍBAR ‘ANAKULA BATA’ HOTEL VERDE


  MCHEZAJI Bora na Mfungaji Bora mwenza wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara, Fiston Kalala Mayele wa Yanga SC yupo mapumzukoni visiwani Zanzíbar na familia yake na amefikia katika hoteli ya Verde inayomilikiwa na Bilionea Alhamisi Sheikh Said Salim Bakhresa.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: MAYELE YUPO MAPUMZIKONI ZANZÍBAR ‘ANAKULA BATA’ HOTEL VERDE Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top