• HABARI MPYA

  Sunday, June 18, 2023

  KAMATI YA UTENDAJI YANGA YAKUTANA FARAGHA KUYAJENGA


  KAMATI ya Utendaji Yanga SC chini ya Rais Hersi Ally Said jana ilifanya kikao cha kikatiba kwa mwaka 2023 katika hoteli ya Serena jijini Dar es Salaam.
  Kikao kilizungumzia mambo mbalimbali ya kimaendeleo kwa klabu hiyo ikiwa ni pamoja na maandalizi ya Mkutano Mkuu wa Wanachama utakaofanyika Jumamosi ijayo Jijini Dar es Salaam.


  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: KAMATI YA UTENDAJI YANGA YAKUTANA FARAGHA KUYAJENGA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top