• HABARI MPYA

  Tuesday, June 20, 2023

  SIMBA SC YAACHANA NA BEKI MUIVORY COAST MOHAMED OUTTARA


  KLABU ya Simba imeachana na beki Muivory Coast, Mohamed Ouattara baada ya msimu mmoja wa kuwa na Wekundu hao wa Msimbazi kufuatia kuwasili akitokea Al Hilal ya Sudan.
  Anakuwa mchezaji wa tatu kuachwa baada ya msimu, wengine kiungo Mnigeria Víctor Akpan na winga Mghana, Augustine Okrah.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: SIMBA SC YAACHANA NA BEKI MUIVORY COAST MOHAMED OUTTARA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top