KLABU ya Simba imeachana na makocha wake wa Fiziki, Kelvin Mandla Ndlomo na Fareed Cassiem wote raia wa Afrika Kusini baada ya msimu mmoja wa kuwa kazini.
Kelvin Mandla Ndlomo na Fareed Cassiem wanakuwa mtu wa pili wa benchi la Ufundi kuondolewa kazini baada ya kocha wa makipa, Mmorocco, Zakaria Chlouha kufuatia timu kumaliza msimu bila taji.
0 comments:
Post a Comment