• HABARI MPYA

  Sunday, June 25, 2023

  OSCAR PAUL MCHEZAJI WA KWANZA KUACHWA TANZANIA PRISONS


  KLABU ya Tanzania Prisons imeachana na kiungo wake Oscar Paul akiwa mchezaji wa kwanza kutemwa kuelekea msimu ujao.
  “Tunamshukuru Oscar Paul kwa mudawake wote aliyoutumia katika timu yetu. Uongozi unamtakia kila la kheri katika maisha yake mengine nje ya Tanzania Prisons SC,” imesema taarifa ya Prisons.

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: OSCAR PAUL MCHEZAJI WA KWANZA KUACHWA TANZANIA PRISONS Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top