• HABARI MPYA

  Monday, June 26, 2023

  SINGIDA STARS YAMUONGEZEA MKATABA AZIZ ANDAMBWILE HADI 2026


  KLABU ya Singida Fountain Gate ‘The Big Stars’ imemuongezea mkataba kiungo wake Aziz Andambwile hadi mwaka 2026.
  Aziz Andambwile anakuwa mchezaji wa tatu kuongeza mkataba kutoka kikosi cha msimu uliopita baada ya Mbrazil Bruno Gomez hadi mwaka 2025 na Yusuph Kagoma hadi mwaka 2025.
  Aidha, Singida Big Stars imeachana na kiungo wake Muargentina, Miquel Escobar baada ya msimu mmoja wa kuwa na timu hiyo.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: SINGIDA STARS YAMUONGEZEA MKATABA AZIZ ANDAMBWILE HADI 2026 Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top