• HABARI MPYA

  Tuesday, June 13, 2023

  DIAMOND ALIVYOWABURUDISHA WANA YANGA LEO JANGWANI


  MWANAMUZIKI Diamond Platinums akiwatumbuiza mashabiki wa Yanga leo makao makuu ya klabu hiyo, Jangwani Jijini Dar es Salaam wakati wa sherehe za kufurahia mataji matatu waliyotwaa msimu huu.
  Yanga wamekuwa na msimu mzuri, kwani pamoja na kutwaa Ngao ya Jamii, ubingwa wa Ligi Kuu na Kombe la Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), maarufu kama Azam Sports Federation Cup (ASFC) - pia wamefika Fainali Kombe la Shirikisho Afrika.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: DIAMOND ALIVYOWABURUDISHA WANA YANGA LEO JANGWANI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top