• HABARI MPYA

  Wednesday, June 14, 2023

  SINGIDA BIG STARS YAUZWA FOUNTAIN GATE


  UONGOZI wa Singida Big Stars FC umefanya makubaliano ya kibiashara ya kuuza hisa zake kwa uongozi wa Fountain Gate Academy.
  Makubaliano hayo yameambatana na baadhi ya mabadiliko katika uendeshaji wa klabu kwa upande wa Bodi na Menejimenti.
  Kutokana na mauziano hayo, sasa Singida Big Stars FC itafahamika kama Singida Fountain Gate FC na jina la utani la ‘The Big Stars’.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: SINGIDA BIG STARS YAUZWA FOUNTAIN GATE Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top