• HABARI MPYA

  Thursday, June 08, 2023

  RIFFAT SAID KHAMIS; SHUJAA WA ZANZIBAR CHALLENGE 1995 UGANDA

   

  Kipa Riffat Said Khamis (sasa marehemu), shujaa wa kikosi cha Zanzibar kilichotwaa Kombe la Mataifa ya Afrika Mashariki na Kati, CECAFA Challenge mwaka 1995 nchini Uganda, miaka miwili tu tangu aiwezeshe klabu yake, Yanga kutwaa Kombe la Klabu Bingwa Afrika Mashariki mwaka 1993 nchini humo.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: RIFFAT SAID KHAMIS; SHUJAA WA ZANZIBAR CHALLENGE 1995 UGANDA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top