• HABARI MPYA

  Saturday, June 10, 2023

  AZAM FC TAYARI WAPO TANGA KWA KAZI NA YANGA JUMATATU


  KIKOSI cha Azam FC tayari kimewasili Jijini Tanga kwa ajili ya mchezo wa Fainali ya kombe la Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), maarufu kama Azam Sports Federation Cup (ASFC) dhidi ya mabingwa watetezi, Azam FC Jumatatu Uwanja wa Mkwakwani Jijini Tanga.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: AZAM FC TAYARI WAPO TANGA KWA KAZI NA YANGA JUMATATU Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top