• HABARI MPYA

  Wednesday, June 07, 2023

  KOMBE JIPYA WATAKALOPEWA YANGA KUONYESHWA KESHO DAR


  BODI ya Ligi Kuu Tanzania Bara (TPLB) kesho inatarajiwa kutambulisha Kombe jipya la ubingwa wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara ambalo watakabidhiwa mabingwa kwa msimu wa pili mfululkzo, Yanga SC na mara 29 jumla.

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: KOMBE JIPYA WATAKALOPEWA YANGA KUONYESHWA KESHO DAR Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top