SIMBA SC YAINGIA MAKUBALIANO YA KUUZIANA WACHEZAJI NA KLABU YA ARMENIA
KLABU ya Simba SC leo imeingia mkataba wa ushirikiano na timu ya West Armenia Football Club, wenye unatoa fursa ya kuuziana wachezaji, maendeleo ya ufundi, soka la vijana na maendeleo ya soka.
0 comments:
Post a Comment