• HABARI MPYA

  Monday, June 19, 2023

  ZAWADI YA RAIS DK SAMIA YAWAFIKIA WACHEZAJI TAIFA STARS


  MSEMAJI Mkuu wa Serikali, Gerson Msigwa, akimkabidhi mchezaji wa timu ya soka ya taifa ya Tanzania, Taifa Stars, Simon Msuva zawadi ya fedha taslimu, Sh. Milioni 10 kutoka kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Samia Suluhu Hassan kwa ushindi wao wa 1-0 dhidi ya Níger jana Uwanja wa Benjamín Mkapa Jijini Dar es Salaam kwenye mchezo wa Kundi F kufuzu Fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON) mwakani nchini Ivory Coast.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: ZAWADI YA RAIS DK SAMIA YAWAFIKIA WACHEZAJI TAIFA STARS Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top