• HABARI MPYA

  Wednesday, June 14, 2023

  AZAM FC YATIMUA MAKOCHA WAWILI MSPANIOLA NA MTUNISIA


  KLABU ya Azam FC imeachana na makocha wake wawili, Kocha wa makipa Mspaniola Dani Cadena na kocha wa Fiziki, Mtunisia Dk. Moadh Hiraoui.
  Makocha hao wanaondoka kupisha wasaidizi wapya watanaoletwa na kocha mpya, Msenegal Youssouph Dabo ambaye ataanza kukiandaa kikosi kwa ajili ya msimu ujao.


  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: AZAM FC YATIMUA MAKOCHA WAWILI MSPANIOLA NA MTUNISIA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top