• HABARI MPYA

  Thursday, June 22, 2023

  COASTAL UNION YAACHANA WACHEZAJI SABA WAGENI WATANO


  TIMU ya Coastal Union ya Tanga imetangaza kuachana na wachezaji saba baada ya kumalizika msimu wakijakilishia kubaki Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara katika siku ya mwisho kabisa.
  Walioachwa ni kipa Mcomoro, Mahamoud Mroivili, mabeki Mganda Joseph Zziwa, Mrundi, Emery Nimubona, kiungo Mbenin Djibril Naim Olatoundji na wazawa, kiungo Yussuf Jamal Kisongo na mshambuliaji Yussuf Athumani.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: COASTAL UNION YAACHANA WACHEZAJI SABA WAGENI WATANO Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top