• HABARI MPYA

  Monday, June 19, 2023

  WAZIRI ATEUA MSAJILI MPYA WA VYAMA VYA MICHEZO NCHINI


  WAZIRI wa Utamaduni Sanaa na Michezo, Balozi Dk. Pindi Hadhara Chana amemteua Evordy Eliezer Kyando kuwa Kaimu Msajili wa Vyama na Klabu za Michezo nchini.


  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: WAZIRI ATEUA MSAJILI MPYA WA VYAMA VYA MICHEZO NCHINI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top