• HABARI MPYA

  Saturday, June 10, 2023

  SHEREHE ZA UBINGWA WA LIGI KUU YANGA ZILIVYOFANA LEO DAR


  WACHEZAJI wa Yanga wakiwa kwenye basi maalum la wazi kusherehekea na Kombe lao la ubingwa wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania leo Jijini Dar es Salaam baada ya kuwasili kwa ndege wakitokea Mbeya ambako jana walicheza mechi yao ya mwisho ya Ligi Kuu dhidi ya wenyeji, Tanzania Prisons na kuibuka na ushindi wa 2-0 Uwanja wa Sokoine.
  VIDEO: SHEREHE ZA UBINGWA YANGA SC
  VIDEO: SHEREHE ZA UBINGWA YANGA SC
  VIDEO: SHEREHE ZA UBINGWA YANGA SC
  PICHA: SHEREHE ZA UBINGWA YANGA SC
  PICHA: SHEREHE ZA UBINGWA YANGA SC
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: SHEREHE ZA UBINGWA WA LIGI KUU YANGA ZILIVYOFANA LEO DAR Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top