• HABARI MPYA

  Friday, June 23, 2023

  NAMUNGO FC YAMTAMBULISHA ERASTO NYONI SIKU MOJA TU BAADA YA KUTEMWA SIMBA


  KLABU ya Namungo FC ya Ruangwa mkoani Lindi imemtambulisha kiungo mkongwe anayeweza kucheza nafasi zote za ulinzi pembeni na katikati, Erasto Edward Nyoni kuwa mchezaji wake kwanza mpya kuelekea msimu ujao.
  Namungo FC inamtambulisha Erasto siku moja tu baada ya klabu ya Simba kutangaza kuachana naye kufuatia kudumu Msimbazi tangu mwaka 2017 akitokea Azam FC.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: NAMUNGO FC YAMTAMBULISHA ERASTO NYONI SIKU MOJA TU BAADA YA KUTEMWA SIMBA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top