• HABARI MPYA

  Thursday, June 08, 2023

  WEST HAM WATWAA TAJI LA UEFA CONFERENCE LEAGUE


  TIMU ya West Ham ya England imefanikiwa kutwaa taji la Europa Conference League baada ya ushindi wa 2-1 dhidi ya Fiorentina katika mchezo wa Fainali jana Uwanja wa Fortuna Arena, Vrsovice Jijini Prague, Jamhuri ya Czech.
  Mabao ya West Ham yamefungwa na Said Benrahma kwa penalti dakika ya 62 na Jarrod Bowen dakika ya 90, huku la Fiorentina likifungwa na Giacomo Bonaventura dakika ya 67, Hammers wakimaliza ukame wa mataji wa miaka 43.


  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: WEST HAM WATWAA TAJI LA UEFA CONFERENCE LEAGUE Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top