• HABARI MPYA

  Thursday, June 15, 2023

  KOCHA MGANDA WA SIMBA QUEENS NAYE ‘ATOLEWA MKUKU’


  KLABU ya Simba imeachana na kocha wake wa timu yake ya wanawake, Mganda Charles Lukula baada ya kuwa kazini kwa msimu mmoja.
  Tayari Simba imeachana na makocha wake wawili wa Fiziki, Kelvin Mandla Ndlomo na Fareed Cassiem, wote raia wa Afrika Kusini na kocha wa makipa, Mmorocco, Zakaria Chlouha kufuatia timu kumaliza msimu bila taji.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: KOCHA MGANDA WA SIMBA QUEENS NAYE ‘ATOLEWA MKUKU’ Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top