• HABARI MPYA

  Tuesday, June 13, 2023

  NTIBANZOKIZA ABEBA TUZO NYINGINE YA KUFUNGIA MSIMU SIMBA


  KIUNGO wa Kimataifa wa Burundi, Saido Ntibazonkiza ameshindaTuzo ya Mchezaji Bora wa Mashabiki kwa mwezi Mei na kukabidhiwa zawadi ya Sh. Milioni 2 kutoka kwa wadhamini, kwmpuni ya Emirate Aluminium Profile.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: NTIBANZOKIZA ABEBA TUZO NYINGINE YA KUFUNGIA MSIMU SIMBA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top