• HABARI MPYA

  Friday, June 30, 2023

  DIRISHA LA USAJILI LIGI KUU KUFUNGULIWA JUMAMOSI HADI AGOSTI 31


  SHIRIKISHO la Soka Tanzania (TFF) limesema dirisha la usajili kwa timu za Ligi Kuu ya NBC, Championship, Daraja la Kwanza na Ligi Kuu ya Wanawake linatarajiwa kufunguliwa Jumamosi ya Julai 1 hadi Agosti 31.  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: DIRISHA LA USAJILI LIGI KUU KUFUNGULIWA JUMAMOSI HADI AGOSTI 31 Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top