• HABARI MPYA

  Friday, June 09, 2023

  VIONGOZI SIMBA SC WAPEWA MAFUNZO YA UONGOZI


  UONGOZI wa klabu leo umeendesha mafunzo ya uongozi kwa Wajumbe wa Bodi ya Wakurugenzi yaliyolenga kujenga taasisi bora yenye weledi na kufikia dira yetu ya kuwa moja ya klabu bora barani Afrika.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: VIONGOZI SIMBA SC WAPEWA MAFUNZO YA UONGOZI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top