KMKM wamefanikiwa kutwaa ubingwa wa Ligi ya PBZ Zanzibar kwa mara ya tatu mfululizo baada ya kuichapa Chipukizi mabao 2-0 jana Uwanja wa Amani, Zanzibar, hivyo kumaliza na pointi 69, nne Zaidi ya KVZ iliyoshika nafasi ya pili, wote wakifuatiwa na Mlandege pointi 53, Malindi 49 na Zimamoto 45.
0 comments:
Post a Comment