• HABARI MPYA

    Saturday, June 10, 2023

    TWIGA STARS IKIJIANDAA KUIVAA ZAMBIA KESHO LUSAKA


    BEKI wa timu ya soka ya taifa ya wanawake ya Tanzania, 'Twiga Stars', Fatuma Issa 'Fetty Densa' akiwa mazoezini leo Uwanja wa Woodlands Jijini Lusaka nchini Zambia kujiandaa na mchezo wa kirafiki dhidi ya wenyeji, 'Copper Queens' kesho mjini humo.
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: TWIGA STARS IKIJIANDAA KUIVAA ZAMBIA KESHO LUSAKA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top