SIMBA SC NAO WAANZA KUPUNGUZANA KAZINI, KOCHA WA MAKIPA 'OUT'
KLABU ya Simba imeachana na kocha wa makipa, Mmorocco Chlouha Zakaria baada ya kufanya kazi kwa msimu mmoja tangu arithi mikoba ya mzawa, Muharami Mohamed 'Shilton'. "Tunakutakia kila la kheri katika maisha yako mapya nje ya Simba,"imesema sehemu ya taarifa ya Simba kumuaga kocha huyo.
OMTO WAJA NA MAKUBWA 2024
-
Mkurugenzi wa Taasisi ya Uwezeshaji Wajasiriamali ya Open Mind and Thoughts
Organization (OMTO), Anna Haule akizungumza wakati mkutano wa kwanza wa
mwak...
Reports: Jack Wilshere set for Arsenal return
-
Former Arsenal midfielder Jack Wilshere has held talks with the north
London side on one of its vacant academy coaching roles. Under 23 manager
Per Mertes...
YANGA ‘KUPAA’ JUMANNE KUIFUATA MWADUI FC
-
MARA baada ya mchezo wa kirafiki dhidi ya Namungo Fc kwenye uwanja wa
Majaliwa, Lindi, siku ya jumapili, Kikosi cha Young Africans Sports Club,
kitareje...
0 comments:
Post a Comment