• HABARI MPYA

  Saturday, June 24, 2023

  TIMU YA TAIFA YAENDA TUNISIA MICHEZO YA AFRIKA SOKA YA UFUKWENI


  WACHEZAJI wa timu ya taifa ya soka la ufukweni wakiwa Uwanja ea Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA) Jijini Dar es Salaam wakati wa safari ya kwenda Tunisia kwenye mashindano ya Afrika (Africa Beach Games).
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: TIMU YA TAIFA YAENDA TUNISIA MICHEZO YA AFRIKA SOKA YA UFUKWENI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top