AHMED ALLY AKIHAMASISHA MASHABIKI KUJITOKEZA MECHI NA HOROYA
MENEJA Habari na Mawasiliano wa Simba SC, Ahmed Ally akiwa na kispika chake kuhamasisha mashabiki kujitokeza kwenye mchezo wa Kundi C Ligi ya Mabingwa Ulaya dhidi ya Horoya Jumamosi Uwanja wa Benjamin Mkapa Jijini Dar es Salaam.
0 comments:
Post a Comment