• HABARI MPYA

  Friday, March 17, 2023

  RASHFORD AIPELEKA MAN UNITED ROBO FAINALI EUROPA


  TIMU ya Manchester United imefanikiwa kwenda Robo Fainali ya michuano ya UEFA Europa League baada ya ushindi wa 1-0 dhidi ya wenyeji, Real Betis jana Uwanja wa Benito Villamarín Jijini Sevilla.
  Pongezi kwa mfungaji wa bao pekee kwenye mchezo wa jana, Marcus Rashford dakika ya 55 akimalizia kazi nzuri ya Casemiro na sasa Man United wanasonga mbele kwa ushindi wa jumla wa 5-1 kufuatia ushindi wa 4-1 kwenye mchezo wa kwanza England.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: RASHFORD AIPELEKA MAN UNITED ROBO FAINALI EUROPA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top