SIMBA SC YAMSAJILI BEKI WA KAZI 'MTU MZIMA' MKENYA JOASH ABONG'O ONYANGO KUTOKA GOR MAHIA
Kocha Msaidizi wa Simba SC, Suleiman Matola akimkabidhi nakala ya mkataba beki wa kimataifa wa Kenya, Joash Abong'o Onyango baada ya kusaini mkataba wa kujiunga na klabu hiyo kutoka Gor Mahia ya kwao
0 comments:
Post a Comment