• HABARI MPYA

  Jumamosi, Agosti 01, 2020

  BAKARI NONDO MWAMNYETO ATUA YANGA SC KWA MKATABA WA MIAKA MIWILI

  BEKI wa kati wa Coastal Union ya Tanga, Bakari Nondo Mwamnyeto (kushoto) akisaini mkataba wa miaka miwili kujiunga na klabu ya Yanga leo Jijini Dar es Salaam. Kulia ni Kaimu Katibu Mkuu wa Yanga SC, Wakili Simon Patrick.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: BAKARI NONDO MWAMNYETO ATUA YANGA SC KWA MKATABA WA MIAKA MIWILI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top