Beki Antonio Rudiger akipongezwa na wenzake baada ya kuifungia Chelsea mabao yote mawili dakika za 46 na 71 katika sare ya 2-2 na wenyeji, Leicester City, ambayo mabao yake yamefungwa na Harvey Barnes dakika ya 54 na Ben Chilwell dakika ya 64 kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya England leo Uwanja wa King Power PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Watch: Lille midfielder Ethan Mbappe shown red card for ugly elbow
-
Ethan Mbappé was shown a red card in Lille's Champions League match against
Real Betis on Tuesday.
2 weeks ago



.png)
0 comments:
Post a Comment