Karim Benzema akishangilia baada ya kuifungia bao pekee Real Madrid dakika ya 56 ikiwalaza mahasimu, Atletico Madrid 1-0 katika mchezo wa La Liga leo Uwanja wa Bernabeu. Kwa ushindi huo, Real inafikisha point 49 katika mchezo wa 22 na kuendelea kuongoza La Liga, sasa ikiwazidi pointi sita mabingwa watetezi, Barcelona PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Watch: Lille midfielder Ethan Mbappe shown red card for ugly elbow
-
Ethan Mbappé was shown a red card in Lille's Champions League match against
Real Betis on Tuesday.
2 weeks ago



.png)
0 comments:
Post a Comment