• HABARI MPYA

  Jumatatu, Januari 06, 2020

  NYOTA WA ZENJI, ABDULAZIZ MAKAME NA FEISAL SALUM MAZOEZINI LEO YANGA IKIJIANDAA KUIVAA JAMHURI KESHO

  Viungo Wazanzibari wa Yanga SC, Abdulaziz Makame (kulia) na Feisal Salum (kushoto) wakiwa mazoezini leo Uwanja wa Amaan, Zanzibar kujiandaa na mchezo wa Kundi A Kombe la Mapinduzi kesho dhidi ya Jamhuri kuanzia Saa 2:15 usiku hapo hapo Uwanja wa Amaan, ambao utarushwa LIVE Azam Sports 2 
  Wachezaji wa Yanga SC wakiwa mazoezini leo Uwanja wa Amaan, Zanzibar kujiandaa na mchezo dhidi ya Jamhuri kesho 

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: NYOTA WA ZENJI, ABDULAZIZ MAKAME NA FEISAL SALUM MAZOEZINI LEO YANGA IKIJIANDAA KUIVAA JAMHURI KESHO Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top