• HABARI MPYA

    Monday, January 06, 2020

    KAKOLANYA ALIVYOONYESHA UHODARI WAKE KWENYE MAZOEZI YA SIMBA SC LEO UWANJA WA GOMBANI

    Kipa Beno Kakolanya akidaka mpira kwa ustadi mkubwa kwenye mazoezi ya Simba leo Uwanja wa Gombani, Pemba kujiandaa na mchezo wa Kundi B Kombe la Mapinduzi dhidi ya Zimamoto kesho Saa 10:15 hapo hapo, (Gombani), mchezo ambao utarushwa LIVE na Azam Sports 2 
    Nyota mpya kutoka Msumbiji, Luis Jose Miquissone akipiga mpira mbele ya kiungo mwenzake, Msudan Sharaf Eldin Shiboub kwenye mazoezi ya Simba leo Uwanja wa Gombani
    Kiungo Hassan Dilunga akipiga hesabu za kuwapita wenzake leo kwenye mazoezi ya Simba Uwanja wa Gombani kujiandaa na mchezo dhidi ya Zimamoto kesho 
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: KAKOLANYA ALIVYOONYESHA UHODARI WAKE KWENYE MAZOEZI YA SIMBA SC LEO UWANJA WA GOMBANI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top