Mbrazil Willian akifumua shuti kuifungia Chelsea bao la ushindi dakika ya 77 ikiwalaza 2-1 wenyeji, Lille katika mchezo wa Kundi H Ligi ya Mabingwa Ulaya usiku wa jana Uwanja wa Pierre-Mauroy mjini Villeneuve d'Ascq. Bao la kwanza la Chelsea lilifungwa na Tammy Abraham dakika ya 22, wakati la Lille lilifungwa na Victor Osimhen dakika ya 33 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Watch: Lille midfielder Ethan Mbappe shown red card for ugly elbow
-
Ethan Mbappé was shown a red card in Lille's Champions League match against
Real Betis on Tuesday.
1 week ago



.png)
0 comments:
Post a Comment