Nahodha Lionel Messi akimpongeza mshambuliaji mwenzake, Luis Suarez baada ya kuifungia mabao yote mawili Barcelona dakika za 58 na 84 ikiilaza Inger Milan 2-1 usiku wa jana Uwanja wa Camp Nou. Katika mchezo huo wa Kundi F, bao la Inter Milan lilifungwa na Lautaro Martínez dakika ya pili PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Watch: Lille midfielder Ethan Mbappe shown red card for ugly elbow
-
Ethan Mbappé was shown a red card in Lille's Champions League match against
Real Betis on Tuesday.
1 week ago



.png)
0 comments:
Post a Comment