• HABARI MPYA

  Alhamisi, Oktoba 03, 2019

  SALAH APIGA MBILI, MANE MOJA LIVERPOOL YAICHAPA SALZBURG 4-3

  Sadio Mane na Roberto Firmino wakimpongeza mwenzao, Mohamed Salah baada ya kuifungia Liverpool mabao mawili katika ushindi wa 4-3 dhidi ya Salzburg kwenye mchezo wa Kundi E Ligi ya Mabingwa Ulaya usiku wa jana Uwanja wa Anfield. Salah alifunga dakika za 36 na 69, wakati mabao mengine ya Liverpool yalifungwa na Sadio Mane dakika ya tisa na Andy Robertson dakika ya 25, wakati ya Salzburg yamefungwa na Hwang Hee-Chan dakika ya 39, Takumi Minamino dakika 56 na Erling Haland dakika ya  
  60 

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: SALAH APIGA MBILI, MANE MOJA LIVERPOOL YAICHAPA SALZBURG 4-3 Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top