NGASSA, MSONGA RASHID, MASATU NA MARSHA ENZI ZAO PAMBA SC 1988
Wachezaji wa Pamba SC ya Mwanza kutoka kulia Khalfan Ngassa, Msonga Rashid, George Masatu na Hussein Marsha kabla ya mazoezi yao kujiandaa na Ligi Daraja la Kwanza Tanzania Bara mwaka 1988 (sasa Ligi Kuu).
0 comments:
Post a Comment