Raheem Sterling (kushoto) akishangilia na Kevin De Bruyne (kulia) baada ya wawili hao kushirikiana kuipatia Manchester City bao la kwanza katika ushindi wa 7-0 dhidi ya Rotherham Jumapili kwenye mchezo wa Raundi ya Tatu Kombe la FA England Uwanja wa Etihad. Mabao ya Man City yamefungwa na Sterling dakika ya 12, Phil Foden dakika ya 43, Semi Ajayi aliyejifunga dakika ya 45 na ushei, Gabriel Jesus dakika ya 52, Riyad Mahrez dakika ya 73, Nicolas Otamendi dakika ya 78 na Leroy Sané dakika ya 85 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Anthony Joshua vs Kristian Prenga LIVE: AJ returns to ring after car crash
against little-known knockout artist - as he bids to set up long-awaited
clash with Tyson Fury
-
Follow Daily Mail Sport's live blog as Anthony Joshua faces Kristian Prenga
in Jeddah, Saudi Arabia, in a bid to set up a long-awaited clash with Tyson
Fury.
8 minutes ago



.png)
0 comments:
Post a Comment