Wachezaji wa timu ya soka ya taifa ya Tanzania, Taifa Stars wakiwa mazoezini Uwanja wa Taifa mjini Praia, Cape Verde jioni ya leo kujiandaa na mchezo wa Kundi L kufuzu Fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON) dhidi ya wenyeji Ijumaa
Washambuliaji Thomas Ulimwengu (kulia) na Mbwana Samatta (kushoto)
Wachezaji wengine wa Taifa Stars wakivaa ili kuingia mazoezini
Kocha Msaidizi Emeka Amadi akiwa kwenye benchi Uwanja wa Taifa wa Praia
Marefa wa mchezo huo kutoka Mali, Boubou Traore, Drissa Kamory Niare na Baba Yomboliba wa Mali wakikagua Uwanja wa leo
Uwanja wa Taifa wa Praia ambao utatumika kwa mchezo wa Ijumaa
Hapa ni wakati wachezaji wa Taifa Stars wanapanda basi kwenda hotelini baada ya kuwasili Praia
Trump rejects offer to join breakaway snooker tour
-
Former world champion Judd Trump reveals he rejected an approach to join a
potential breakaway snooker tour, saying he was “not interested one bit”.
28 minutes ago
0 comments:
Post a Comment