Kipa Danijel Subasic amekuwa shujaa wa Croatia baada ya kuokoa penalti tatu za Denmark leo Uwanja wa Nizhny Novgorod mjini Novgorod, Urusi na kuipeleka timu yake Robo Fainali Kombe la Dunia ambako itakutana na wenyeji, Urusi. Mchezo huo ulimalizika kwa sare ya 1-1 ndani ya dakika 120, Mathias Jorgensen akianza kuifungia Denmark dakika ya kwanza, kabla ya Mario Mandzukic kuisawazishia Croatia dakika ya nne PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Watch: Lille midfielder Ethan Mbappe shown red card for ugly elbow
-
Ethan Mbappé was shown a red card in Lille's Champions League match against
Real Betis on Tuesday.
2 weeks ago



.png)
0 comments:
Post a Comment