Neymar akiwa amebewa mabegani na Paulinho baada ya mshambuliaji huyo kuifungia Brazil bao la kwanza dakika ya 51 katika ushindi wa 2-0 dhidi ya Mexico leo kwenye mchezo wa hatua ya 16 Bora Kombe la Dunia Uwanja wa Samara Arena nchini Urusi. Bao lingine la Brazil limefungwa na Roberto Firmino dakika ya 88 na sasa watakutana na mshindi kati ya Ubelgiji na Japan kwenye Robo Fainali PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Watch: Lille midfielder Ethan Mbappe shown red card for ugly elbow
-
Ethan Mbappé was shown a red card in Lille's Champions League match against
Real Betis on Tuesday.
2 weeks ago



.png)
0 comments:
Post a Comment