Beki wa kimataifa wa Hispania, Sergio Ramos ameposti picha hii katika ukurasa wake wa Instagram kuelekea Fainali za Kombe la Dunia nchini Urusi, akitoka kuisaidia klabu yake Real Madrid kutwaa taji la mfululizo la Ligi ya Mabingwa Ulaya kwa ushindi wa 3-1 dhidi ya Liverpool mwezi uliopita, ingawa alimuumiza mshambuliaji tegemeo wa wapinzani wao, Mmisri Mohamed Salah na kujikuta anabeba lawama nyingi PICHA ZAIDI GONGA HAPA
World Cup: Cristiano Ronaldo hurting Portugal – Forlan
-
The 2010 World Cup Golden Ball winner, Diego Forlan has suggested that
Cristiano Ronaldo's presence in Portugal could be hurting the team in the
ongoing ...
31 minutes ago



.png)
0 comments:
Post a Comment