• HABARI MPYA

  Sunday, October 01, 2017

  YANGA WALIOTOKA SARE YA 3-3 NA RAJA CASABLANCA DAR

  Kikosi cha Yanga SC kabla ya mchezo wa Kundi A Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya Raja Casablanca ya Morocco mwaka 1998 Uwanja wa Taifa (sasa Uhuru) mjini Dar es Salaam ambao ulimalizika kwa sare ya 3-3. Kutoka Kulia waliosimama ni Mzee Abdallah, John Mwansasu, Manyika Peter, Abdallah Msheli na Alphonce Modest. Waliochuchumaa kutoka kulia ni Monja Liseki, Abdul Maneno, Mohammed Hussein 'Mmachinga', Edibily Lunyamila na Shaaban Ramadhani     
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: YANGA WALIOTOKA SARE YA 3-3 NA RAJA CASABLANCA DAR Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top