Alex Iwobi akishangilia baada ya kuifungia bao la pili Arsenal dakika ya 56 katika ushindi wa 2-0 dhidi ya Brighton kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya England leo Uwanja wa Emirates. Bao la kwanza lilifungwa na Nacho Monreal dakika ya 16 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Watch: Lille midfielder Ethan Mbappe shown red card for ugly elbow
-
Ethan Mbappé was shown a red card in Lille's Champions League match against
Real Betis on Tuesday.
2 weeks ago



.png)
0 comments:
Post a Comment