SAFARINI UHURU KWENDA KUMUONA OKWI AKIFANYA YAKE SIMBA
Shabiki wa Simba SC (kushoto) akiwa kwenye pikipiki maarufu kama bodaboda barabara ya Mandela eneo la Chang'ombe, Dar es Salaam kuwahi Uwanja wa Uhuru, ambako timu yake inamenyana na Mtibwa Sugar katika Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara
0 comments:
Post a Comment